Zillim AIO Systems · Dar es Salaam

Hutaki kuwa viral online.
Unachotaka ni mfumo wa mauzo wa dakika 30 kwa siku.

Kwa wauzaji wa Tanzania wanaouzia Instagram na WhatsApp tayari lakini bado wanapoteza asilimia 60–80 ya mauzo kila mwezi kwa sababu ya mapengo manne, sio kwa sababu ya competitors.

Angalia kwanza: dakika 15

Mauzo ya uhakika hayatokani na followers, kwenda viral, au kupost zaidi. Yanatokana na mfumo mmoja wa AI unaoziba mapengo manne, unaojengwa kwa masaa 3, na kuendeshwa kwa dakika 30 kwa siku.

Nunua Masterclass · 199,500 TZS Jenga-Mfumo Wako Guarantee · Lifetime access · Malipo M-Pesa / Mixx / Airtel
Uchunguzi wa Mianya

Biashara yako inapoteza hela, sio kwasababu ya ushindani mkubwa. Ni kwa sababu ya haya mapengo yake.

Ninaona hili kila wiki kwa wafanyabiashara wengi wa beauty, fashion, chakula, macoach na huduma hapa Dar. Bidhaa yako inaweza kuwa nzuri. Tatizo ni kwamba mfumo wa kuiuza automatically haupo, na kila mwanya unavujisha pesa zako.

Mwanya 1

Positioning

Bio yako inafanana na accounts nyingine 5,000 za wauzaji online. Hakuna kinachokufanya uwe chaguo la kwanza kwa wateja wako.

Gharama yake: Wateja wanakulinganisha na wengine na wanataka kununua kwa bei ya chini. Wanabargain bei kila siku.

Mwanya 2

Content

Unapost ukiwa na mood, na sio kwa mpangilio unaoeleweka, kisha unakaa kimya siku 10. Algorithm inakusahau kila mara.

Gharama yake: Reach na views zako zinashuka 60–80% baada ya kila week ambayo umekaa kimya kidogo.

Mwanya 3

Conversion

Wateja wanaulizia "Bei?" alafu hawanunui. Ukishawajibu bei "50,000" wanakaa kimya. Hakuna follow-up. DM 7 kati ya 10 zinakufa hapo hapo bila kuwa mauzo.

Gharama yake: 70% ya inquiries zinapotea kwenye WhatsApp.

Mwanya 4

Retention

Mteja ananunua mara moja, hasikii kwako tena. Unatafuta wateja wapya kila mwezi.

Gharama yake: Inakuwia ngumu mara 5 kupata mteja mpya kuliko kumrudisha aliyenunua. Biashara yako inakuwa kama umejiajiri, badala ya kukuweka huru. Unaonekana mtumwa wake.

Asilimia 1 ya conversion ina thamani gani?

Bei ile ile. Bidhaa ile ile. Followers wale wale. Kinachobadilika ni mfumo wa kuwageuza followers kuwa wateja. Hii inaitwa conversion.

Mfano: Bidhaa ya 50,000 TZS · DM 40 kwa wiki

Bila mfumo, unauzia 10%
10%
4 mauzo / wiki = 800,000/mo
Ukiwa na mfumo, unauzia 25%
25%
10 mauzo / wiki = 2,000,000/mo
Umeongeza +1,200,000 TZS kwa mwezi, bila followers zaidi na bila ads zaidi.
Mfumo wa 10% ya mauzo ni hobby. Mfumo wa 25% ni biashara. Mfumo wa 40% unakupa uhuru wa muda. Unauza zaidi kwa kuweka nguvu zile zile kwenye biashara yako.
McBenvics, Zillim AIO Systems
Mfumo

Tuongelee MFUMO wa AI wa Kuuza Online

Hapa siongelei tools 50 za AI. Siongelei "jinsi ya kuwa viral." Naongelea mfumo mmoja unaoziba mapengo manne kwa mpangilio, unaojengwa ndani ya masaa 3, na kuendeshwa kwa dakika 30 tu kwa siku.

Jenga Business Profile Content (TEACH–STORY–SELL) WhatsApp DM Flow Follow-up & Reviews Repeat

Kwenye hili darasa tutafanya hivi:

Saa 1: Msingi

Tutajenga Business Profile + TEACH–STORY–SELL + content plan ya wiki nzima.

Saa 2: Mauzo

Tutajenga Content Strategy + WhatsApp Conversion Flow + follow-up + mfumo wa social proof.

Saa 3: Mfumo

Tutajenga offers tiers 3 kwa ajili ya bei zinazovutia wateja wako + calendar misimu ya Tanzania + routine ya 15+15 min + mpango siku 30.

Hii Masterclass ni kwa ajili ya nani?

Kuwa mkweli. Hii Masterclass imejengwa kama wewe ni mmoja kati ya hawa watatu:

Mtu 1

Una biashara halisi na unafanya mauzo, lakini DM zinakufa baada ya wateja kuulizia "bei?"

Mtu 2

Una biashara halisi na unafanya mauzo, lakini hujaweka mfumo, huna mpango, huna strategy ya mauzo. Mara nyingi unajiuliza "leo nipost nini?"

Mtu 3

Una biashara halisi. Unataka mfumo wa mauzo, na sio course ya kutajirika ghafla.

Hii sio kwa wewe ikiwa bado hujajua unauza nini, au unatafuta pesa haraka bila kufanya kazi yoyote. Hii ni masterclass ya kujenga mfumo, na sio promise ya utajiri wa haraka.
Unachopata

Utapata nini ndani ya Tumia AI Kuuza Online Masterclass

Hii sio lecture. Ni working session. Unatoka na vitu vimejengwa.

# Kipengele Thamani
1 Masterclass ya masaa 3, mfumo mzima (Profile → Content → WhatsApp → Follow-up) 400,000
2 Agentic AI Prompt System, prompts 40+ za copy-paste (competitor research, launch, complaints, referrals) 180,000
3 WhatsApp Toolkit, templates 30 zimepangwa kwa aina ya inquiry na hatua ya mteja 150,000
4 90-Day Content Calendar, TEACH–STORY–SELL imejaa, misimu ya TZ imewekwa ndani 200,000
5 Tanzanian Offer & Pricing Playbook, saikolojia ya bei, deposits, bundles, mifano 15 halisi 120,000
6 Slow Week Recovery Kit, orders zikikauka, kit inakuambia hasa la kufanya chini ya saa 1 100,000
Jumla ya thamani 1,150,000 TZS
Offer ya leo (founding cohort) 199,500
Nunua Sasa · 199,500 TZS Founding cohort slots 50 · Baadaye bei itakuwa 249,000 TZS

Nani anafundisha

EM

Elius McBenvics

Founder, Zillim AIO Systems, Dar es Salaam. Nimejenga Zillim kwa mjasiriamali mwenye akili anayefanya kila kitu, lakini mfumo wa sales na kuuza kwenye biashara hauna uhakika.

Nimefanya kazi na brands kama @pregnancy_nutritiontz (0 → 200k+ followers), @Healyliving_with_draurelia (75k), @mrcode_tz (150k). Nimetengeneza mifumo kwa makampuni kama Kaliman Electric (65k followers), St Thomas Health Clinic, Dr. Bella Dermatologist, na wengine 70+ ndani ya Zillim Growth Club.

4
Mianya inayovuja mapato
30
Dakika kwa siku
3
Masaa kujenga mfumo
St Thomas Polyclinic ilikuwa na huduma bora. Zero Google listing. Instagram ya receptionist. Wagonjwa waliondoka kwa Megra, sio kwa sababu huduma ilikuwa mbaya, bali kwa sababu Megra ilikuwa inaonekana. Pattern ile ile kwenye DM zako: una bidhaa nzuri. Mfumo haupo.
Brand Intelligence audit · St Thomas Polyclinic, Ubungo · Brand score 38 → 72

Watu waliojenga mfumo

Ujumbe halisi kutoka kwa wateja walioanza kuziba mianya. (Screenshots zinakuja kadri zinapopatikana.)

DM 7/10 zilizokufa → follow-up inafanya kazi

"Nilikuwa nikiuliza bei na kunyamaza. Sasa nina template ya hatua tatu, watu wanaendelea mazungumzo."

Content plan ya wiki nzima, dakika 30/siku

"Sikuwa najua nipost nini. Sasa nina plan ya TEACH–STORY–SELL na sihitaji mood kuuza."

Mteja mmoja aliyerudishwa = masterclass imelipwa

"Follow-up moja tu ilinirudishia mteja aliyekuwa kimya wiki mbili. Hiyo iligharamia course yote."

Bio mpya, inquiries zinaongezeka

"Nilikuwa 'Tunauza cosmetics' kama watu wengine 5,000. Sasa bio inasema nini na kwa nani, na watu wanaelewa."

Jenga-Mfumo Guarantee

Fanya exercises zote 8 za masterclass: profile yako, content plan, DM templates, follow-up system.

Kama ukimaliza unaona haijakupa thamani ya vitendo, tuma kazi yako ndani ya siku 14. Tutakusaidia kuziba mapengo moja kwa moja, au tunakupa credit kwenye programu nyingine ya Zillim.

Hii ni guarantee ya kujenga, sio guarantee ya kipato. Nakuheshimu sana kukudanganya.

Bonus · Optional · Si sehemu ya 199,500
Zillim Growth Club · Business Cycle of Growth Partners

Ukichagua kujiunga na Club — unapata classroom hizi kama BONUS

Kwanza unanunua Tumia Masterclass (199,500 TZS) — hiyo ni malipo yako ya masterclass. Baadaye, ukiamua kujiunga na Zillim Growth Club kwenye Skool kwa $19 / mwezi, unafungua Business Cycle yetu + classroom zifuatazo kama add-ons — si malipo ya pili ya masterclass. Club ni optional. Unaweza kununua Tumia peke yake.

AI for Social Media Business Masterclass

AI for Social Media Business Masterclass

Prompt engineering, personalization, AI follow-up, simple systems.

  • Prompt Engineering Kuongea na AI
  • Personalization Marketing + Zillim Templates
  • Observation Mastery · AI Tools · Follow Up · Simple Systems
Zillim Marketing Beginner Course

Zillim Marketing Beginner · 10+ Hours

Mteja wa kwanza, content ya duka, brand, UGC, strategy online.

  • Kujitangaza · Mteja wa Kwanza · Mauzo Rejareja
  • Brand · Huduma Mtandaoni · Strategy · UGC 10x
Zillim Business Success System

Zillim Business Success System

Mifumo 14: CEO schedule, DM/WhatsApp sales, pricing, retention, offers, client magnet…

  • 90 Days Scaling · DM & WhatsApp Sales Flows
  • Client Retention · Pricing · Irresistible Offer Lab
  • Engagement Multiplier · Never Fall Off System
The Zillim Evergreen System

The Zillim Evergreen System

Content na ad copy zinazofanya kazi tena na tena.

  • The Evergreen Content Masterclass
  • The Verse Style AD Copywriting Masterclass
Muhimu: Malipo ya Tumia (199,500 TZS) hayajumuishi uanachama wa kila mwezi wa Club. Club ni chaguo tofauti: $19/mo kwenye Skool — ndipo unapopata community + classroom bonuses hapo juu. Hakuna call. Hakuna meeting. Hakuna ofisi. Jiunge ukiwa tayari kutekeleza na growth partners.
Kwanza nunua Masterclass · 199,500 TZS Club $19/mo ni optional baada ya (au pamoja na) masterclass — link ya Skool baada ya access
Founding Cohort

Tumia AI Kuuza Online

Mfumo kamili wa AI wa kuuza kwenye Instagram na WhatsApp, kwa Kiswahili, kwa soko la Tanzania.

Thamani: 1,150,000 TZS · Baadaye: 249,000 TZS
199,500 TZS

Malipo mara moja · Lifetime access · Founding slots 50

Bei hii ni masterclass pekee — si uanachama wa Club

Lipa Sasa · 199,500 TZS M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · Selcom / card (kama utapewa link)
Jinsi ya kulipa masterclass (hatua 3):
  1. Bonyeza “Lipa Sasa” — kiasi ni 199,500 TZS (masterclass tu).
  2. Tuma malipo kwa M-Pesa / Mixx / Airtel (au Selcom/card ukipewa link):
Namba: 0760962379
Jina: Elius Kamuhangire
Kiasi: 199,500 TZS
Reference: TUMIA + jina lako
  1. Tuma screenshot ya malipo kwa WhatsApp assistant 0664159769. Utapata link ya masterclass ndani ya dakika 5.

Club ($19/mo): si kwenye M-Pesa hii. Ukiwa na interest, tutakutumia Skool plan link — classroom bonuses zinafunguka unapojiunga Club, si unapolipa Tumia peke yake.

Maswali ya kawaida

Je, nahitaji kulipia AI tools?
Hapana. ChatGPT, Claude, na Gemini, versions za bure zinatosha kwa kila kitu ndani ya masterclass. Hakuna subscription ya dola kwa Tumia.
Sina followers wengi. Hii bado inafaa?
Ndio, hasa. Mfano wetu: mtu ana followers 800 na waiting list, mwingine ana 20,000 na M-Pesa tupu. Tatizo si idadi, ni mfumo.
Ninauza kwa bei ndogo (20k–50k). Bado inafaa?
Ndio. Mfumo wa follow-up peke yake unarudisha 20%+ ya inquiries za kimya. Mteja mmoja aliyerudishwa analipa masterclass.
Nahitaji website au funnel software?
Hapana. Instagram + WhatsApp + M-Pesa, hiyo ndiyo stack ya Tanzania. Masterclass inakufundisha kutumia hiyo tu.
199,500 inajumuisha Growth Club?
Hapana. 199,500 TZS ni Tumia Masterclass (lifetime) pekee. Growth Club ni optional: $19 / mwezi kwenye Skool. Ukiijiunga unapata community + classroom bonuses (AI Social, Marketing Beginner, Business Success System, Evergreen). Huna wajibu wa kujiunga Club baada ya kununua Tumia.
Kwa nini Club ni $19/mo na si “imejumuishwa”?
Ili usijisikie umelipa community mara mbili. Masterclass ni asset moja (malipo mara moja). Club ni Business Cycle ya growth partners unayoendelea nayo mwezi kwa mwezi — na ndiyo home ya classroom bonuses.
Nitapata link lini baada ya malipo ya Tumia?
Ndani ya dakika 5 baada ya kutuma screenshot kwenye WhatsApp. Club Skool link hutumwa kando ukiwa umeonyesha interest, au unapojiunga mwenyewe kwa $19/mo.

Unachokosa ni mfumo mmoja tu

Bei ile ile. Bidhaa ile ile. Followers wale wale. Mfumo tofauti.

Kwa 199,500 TZS na masaa 3, utajenga mfumo unaoziba mapengo manne inayokuibia mapato kila mwezi.

Anza Sasa · 199,500 TZS

Elius McBenvics · Zillim AIO Systems · Dar es Salaam