Zillim AIO Systems · Dar es Salaam

Hutaki kuwa viral online.
Unachotaka ni mfumo wa mauzo wa dakika 30 kwa siku.

Kwa wauzaji wa Tanzania wanaouzia Instagram na WhatsApp tayari lakini bado wanapoteza asilimia 60–80 ya mauzo kila mwezi kwa sababu ya mapengo manne, sio kwa sababu ya competitors.

Angalia kwanza: dakika 15

Mauzo ya uhakika hayatokani na followers, kwenda viral, au kupost zaidi. Yanatokana na mfumo mmoja wa AI unaoziba mapengo manne, unaojengwa kwa masaa 3, na kuendeshwa kwa dakika 30 kwa siku.

Nunua Masterclass · 199,500 TZS Jenga-Mfumo Wako Guarantee · Lifetime access · Malipo M-Pesa / Mixx / Airtel
Uchunguzi wa Mianya

Biashara yako inapoteza hela, sio kwasababu ya ushindani mkubwa. Ni kwa sababu ya haya mapengo yake.

Ninaona hili kila wiki kwa wafanyabiashara wengi wa beauty, fashion, chakula, macoach na huduma hapa Dar. Bidhaa yako inaweza kuwa nzuri. Tatizo ni kwamba mfumo wa kuiuza automatically haupo, na kila mwanya unavujisha pesa zako.

Mwanya 1

Positioning

Bio yako inafanana na accounts nyingine 5,000 za wauzaji online. Hakuna kinachokufanya uwe chaguo la kwanza kwa wateja wako.

Gharama yake: Wateja wanakulinganisha na wengine na wanataka kununua kwa bei ya chini. Wanabargain bei kila siku.

Mwanya 2

Content

Unapost ukiwa na mood, na sio kwa mpangilio unaoeleweka, kisha unakaa kimya siku 10. Algorithm inakusahau kila mara.

Gharama yake: Reach na views zako zinashuka 60–80% baada ya kila week ambayo umekaa kimya kidogo.

Mwanya 3

Conversion

Wateja wanaulizia "Bei?" alafu hawanunui. Ukishawajibu bei "50,000" wanakaa kimya. Hakuna follow-up. DM 7 kati ya 10 zinakufa hapo hapo bila kuwa mauzo.

Gharama yake: 70% ya inquiries zinapotea kwenye WhatsApp.

Mwanya 4

Retention

Mteja ananunua mara moja, hasikii kwako tena. Unatafuta wateja wapya kila mwezi.

Gharama yake: Inakuwia ngumu mara 5 kupata mteja mpya kuliko kumrudisha aliyenunua. Biashara yako inakuwa kama umejiajiri, badala ya kukuweka huru. Unaonekana mtumwa wake.

Asilimia 1 ya conversion ina thamani gani?

Bei ile ile. Bidhaa ile ile. Followers wale wale. Kinachobadilika ni mfumo wa kuwageuza followers kuwa wateja. Hii inaitwa conversion.

Mfano: Bidhaa ya 50,000 TZS · DM 40 kwa wiki

Bila mfumo, unauzia 10%
10%
4 mauzo / wiki = 800,000/mo
Ukiwa na mfumo, unauzia 25%
25%
10 mauzo / wiki = 2,000,000/mo
Umeongeza +1,200,000 TZS kwa mwezi, bila followers zaidi na bila ads zaidi.
Mfumo wa 10% ya mauzo ni hobby. Mfumo wa 25% ni biashara. Mfumo wa 40% unakupa uhuru wa muda. Unauza zaidi kwa kuweka nguvu zile zile kwenye biashara yako.
McBenvics, Zillim AIO Systems
Mfumo

Tuongelee MFUMO wa AI wa Kuuza Online

Hapa siongelei tools 50 za AI. Siongelei "jinsi ya kuwa viral." Naongelea mfumo mmoja unaoziba mapengo manne kwa mpangilio, unaojengwa ndani ya masaa 3, na kuendeshwa kwa dakika 30 tu kwa siku.

Jenga Business Profile Content (TEACH–STORY–SELL) WhatsApp DM Flow Follow-up & Reviews Repeat

Kwenye hili darasa tutafanya hivi:

Saa 1: Msingi

Tutajenga Business Profile + TEACH–STORY–SELL + content plan ya wiki nzima.

Saa 2: Mauzo

Tutajenga Content Strategy + WhatsApp Conversion Flow + follow-up + mfumo wa social proof.

Saa 3: Mfumo

Tutajenga offers tiers 3 kwa ajili ya bei zinazovutia wateja wako + calendar misimu ya Tanzania + routine ya 15+15 min + mpango siku 30.

Hii Masterclass ni kwa ajili ya nani?

Kuwa mkweli. Hii Masterclass imejengwa kama wewe ni mmoja kati ya hawa watatu:

Mtu 1

Una biashara halisi na unafanya mauzo, lakini DM zinakufa baada ya wateja kuulizia "bei?"

Mtu 2

Una biashara halisi na unafanya mauzo, lakini hujaweka mfumo, huna mpango, huna strategy ya mauzo. Mara nyingi unajiuliza "leo nipost nini?"

Mtu 3

Una biashara halisi. Unataka mfumo wa mauzo, na sio course ya kutajirika ghafla.

Hii sio kwa wewe ikiwa bado hujajua unauza nini, au unatafuta pesa haraka bila kufanya kazi yoyote. Hii ni masterclass ya kujenga mfumo, na sio promise ya utajiri wa haraka.
Unachopata

Utapata nini ndani ya Tumia AI Kuuza Online Masterclass

Hii sio lecture. Ni working session. Unatoka na vitu vimejengwa.

# Kipengele Thamani
1 Masterclass ya masaa 3, mfumo mzima (Profile → Content → WhatsApp → Follow-up) 400,000
2 Agentic AI Prompt System, prompts 40+ za copy-paste (competitor research, launch, complaints, referrals) 180,000
3 WhatsApp Toolkit, templates 30 zimepangwa kwa aina ya inquiry na hatua ya mteja 150,000
4 90-Day Content Calendar, TEACH–STORY–SELL imejaa, misimu ya TZ imewekwa ndani 200,000
5 Tanzanian Offer & Pricing Playbook, saikolojia ya bei, deposits, bundles, mifano 15 halisi 120,000
6 Slow Week Recovery Kit, orders zikikauka, kit inakuambia hasa la kufanya chini ya saa 1 100,000
Jumla ya thamani 1,150,000 TZS
Offer ya leo (founding cohort) 199,500
Nunua Sasa · 199,500 TZS Founding cohort slots 50 · Baadaye bei itakuwa 249,000 TZS

Nani anafundisha

EM

Elius McBenvics

Founder, Zillim AIO Systems, Dar es Salaam. Nimejenga Zillim kwa mjasiriamali mwenye akili anayefanya kila kitu, lakini mfumo wa sales na kuuza kwenye biashara hauna uhakika.

Nimefanya kazi na brands kama @pregnancy_nutritiontz (0 → 200k+ followers), @Healyliving_with_draurelia (75k), @mrcode_tz (150k). Nimetengeneza mifumo kwa makampuni kama Kaliman Electric (65k followers), St Thomas Health Clinic, Dr. Bella Dermatologist, na wengine 70+ ndani ya Zillim Growth Club.

4
Mianya inayovuja mapato
30
Dakika kwa siku
3
Masaa kujenga mfumo
St Thomas Polyclinic ilikuwa na huduma bora. Zero Google listing. Instagram ya receptionist. Wagonjwa waliondoka kwa Megra, sio kwa sababu huduma ilikuwa mbaya, bali kwa sababu Megra ilikuwa inaonekana. Pattern ile ile kwenye DM zako: una bidhaa nzuri. Mfumo haupo.
Brand Intelligence audit · St Thomas Polyclinic, Ubungo · Brand score 38 → 72

Watu waliojenga mfumo

Ujumbe halisi kutoka kwa wateja walioanza kuziba mianya. (Screenshots zinakuja kadri zinapopatikana.)

DM 7/10 zilizokufa → follow-up inafanya kazi

"Nilikuwa nikiuliza bei na kunyamaza. Sasa nina template ya hatua tatu, watu wanaendelea mazungumzo."

Content plan ya wiki nzima, dakika 30/siku

"Sikuwa najua nipost nini. Sasa nina plan ya TEACH–STORY–SELL na sihitaji mood kuuza."

Mteja mmoja aliyerudishwa = masterclass imelipwa

"Follow-up moja tu ilinirudishia mteja aliyekuwa kimya wiki mbili. Hiyo iligharamia course yote."

Bio mpya, inquiries zinaongezeka

"Nilikuwa 'Tunauza cosmetics' kama watu wengine 5,000. Sasa bio inasema nini na kwa nani, na watu wanaelewa."

Jenga-Mfumo Guarantee

Fanya exercises zote 8 za masterclass: profile yako, content plan, DM templates, follow-up system.

Kama ukimaliza unaona haijakupa thamani ya vitendo, tuma kazi yako ndani ya siku 14. Tutakusaidia kuziba mapengo moja kwa moja, au tunakupa credit kwenye programu nyingine ya Zillim.

Hii ni guarantee ya kujenga, sio guarantee ya kipato. Nakuheshimu sana kukudanganya.

Founding Cohort

Tumia AI Kuuza Online

Mfumo kamili wa AI wa kuuza kwenye Instagram na WhatsApp, kwa Kiswahili, kwa soko la Tanzania.

Thamani: 1,150,000 TZS · Baadaye: 249,000 TZS
199,500 TZS

Malipo mara moja · Lifetime access · Founding slots 50

Lipa Sasa · 249,000 TZS M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · CRDB
Jinsi ya kulipa (hatua 3):
  1. Bonyeza "Lipa Sasa" hapo juu, utapata jumla sahihi.
  2. Tuma malipo kwa M-Pesa / Mixx / Airtel:
Namba: 0760962379
Jina: Elius Kamuhangire
Kiasi: 249,000 TZS
  1. Tuma screenshot ya malipo kwa WhatsApp 0760962379. Utapata link ya course ndani ya dakika 5.

Maswali ya kawaida

Je, nahitaji kulipia AI tools?
Hapana. ChatGPT, Claude, na Gemini, versions za bure zinatosha kwa kila kitu ndani ya masterclass. Hakuna subscription ya dola.
Sina followers wengi. Hii bado inafaa?
Ndio, hasa. Mfano wetu: mtu ana followers 800 na waiting list, mwingine ana 20,000 na M-Pesa tupu. Tatizo si idadi, ni mfumo.
Ninauza kwa bei ndogo (20k–50k). Bado inafaa?
Ndio. Mfumo wa follow-up peke yake unarudisha 20%+ ya inquiries za kimya. Mteja mmoja aliyerudishwa analipa masterclass.
Nahitaji website au funnel software?
Hapana. Instagram + WhatsApp + M-Pesa, hiyo ndiyo stack ya Tanzania. Masterclass inakufundisha kutumia hiyo tu.
Growth Club ni nini?
Jumuiya ya Skool ya 49,500/mo: prompt ya wiki, implementation threads, na Win of the Week. Unaweza kuongeza Mwezi 1 wakati wa checkout (+49,500).
Nitapata link lini baada ya malipo?
Ndani ya dakika 5 baada ya kutuma screenshot ya malipo kwenye WhatsApp. Kama hujapata, reply screenshot, tutasolve haraka.

Unachokosa ni mfumo mmoja tu

Bei ile ile. Bidhaa ile ile. Followers wale wale. Mfumo tofauti.

Kwa 199,500 TZS na masaa 3, utajenga mfumo unaoziba mapengo manne inayokuibia mapato kila mwezi.

Anza Sasa · 199,500 TZS

Elius McBenvics · Zillim AIO Systems · Dar es Salaam